Mwani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '200px|thumb|right|''Dinobryon'' ni algae wa jamii ya Chrysophyceae [[File:Laurencia.jpg|200px|thumb|right|Mwani ya ''Laurencia'' katika h...'
 
No edit summary
Mstari 3:
[[File:Phytoplankton SoAtlantic 20060215.jpg|200px|thumb|right|Algae aina ya phytoplankton zikiota kama maua katika Atlantiki ya Kusini mbele ya Argentina]]
 
'''Algae''' (umoja ni '''alga''', uwingi '''algae'''; pia: '''mwani''') ni jina la kundi kubwa la viumbehai vidogo kati ya [[protista]] sana vinavyofanana na [[mimea]]. Zina uwezo wa kujilisha kwa njia ya [[usanisinuru]] yaani hutengeneza chakula chao kwa msaada wa mwanga wa jua.
 
Kuna aina nyingi sana za algae nyingine zina seli moja tu na nyingine zina seli nyingi. Aina kubwa zinajulikana kama mwani za baharini. Katika uwezo wa usaninisinuru zinalingana na mimea lakini hukosa viungo vingi vilivyo kawaida kati ya mimea hivyo katika [[taksonomia]] au mpangilio wa spishi hazihesabiwi kati ya mimea.