Spitsbergen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Spitzbergen umesogezwa hapa Spitsbergen: Jina rasmi ya wenyeji
No edit summary
Mstari 2:
[[file:W W Svalbard LandSat7 21.14475E 78.71545N.png|thumb|300px|Spitzbergen kutoka satelaiti wakati wa joto (mwezi wa Julai: peupe ni barafu)]]
 
'''Spitsbergen''' (pia: Spitzbergen) ni [[kisiwa]] kikubwa cha [[funguvisiwa]] vya [[Svalbard]] inayoitwa mara nyingi wa jina Spitsbergen vilevile kwa jumla. Iko ndani ya [[Bahari ya Aktiki]] na eneo lake ni 39,044 [[km²]]. Funguvisiwa yote ni sehemu ya ufalme wa [[Norwei]].
 
Mwiinuko mkuu ni mlima wa Newtontoppen mwenye kimo cha mita 1717.