Kampaundi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fiu-vro:Liitollus Ondoa: vec:Sostansa
sahihisho dogo
Mstari 1:
'''Kampaundi''' ni dutu iliyoundwa kwa kuungana kwa [[elementi]] mbili au zaidi za kikemia katika hali thabiti kati ya masi au [[atomi]] zao. Atomi zao zashikwa kwa [[muungo kemia]] kuwa [[molekuli]] za dutu hiyo.
 
==Tofauti ya kampaundi na mchnganyikomchanganyiko wa elementi==
Kampaundi ni tofauti na mchanganyiko wa elementi. Kwa mfano mchanganyiko wa atomi mbili za [[hidrojeni]] na atomi moja ya [[oksijeni]] ni gesi ya [[oksihidrojeni]] inayowaka rahisi kwa njia ya mlipuko. Mchanganyiko huu si thabiti. Lakini kama atomi zilezile zaingia katika [[muungo kemia]] zaunda dutu mpya ya H<sup>2</sup>O au [[maji]].
 
Kampaundi hupatikana kwa [[hali maada]] mbalimbali kama vile [[gesi]], [[mango]] au [[kiowevu]].