Madini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: la:Mineral
kiungo
Mstari 1:
[[FailiFile:Pyrite.jpg|thumb|250px|[[Nyengwe]] (Pyrite) ni kampaundi ya [[chuma]] na [[sulfuri]] yenye fuwele nzuri]]
'''Madini''' (Kiarabu '''معدن''' ''ma'adan'') ni dutu [[mango]] inayopatikana duniani kiasili. Madini huwa na tabia maalumu wa kikemia, si mata ogania na huwa na muundo wa [[fuwele]]. Kwa lugha nyingine: Madini ni [[elementi]] au [[kampaundi]] ya kikemia inayoonyesha umbo la fuwele na ambayo imejitokeza kutokana na mchakato wa kijiolojia.