Diego Garcia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: ca:Diego Garcia
No edit summary
Mstari 7:
|}
 
'''Diego Garcia''' ni kisiwa cha [[Uingereza|Kiingereza]] katika [[Bahari Hindi]]. Ni sehemu ya [[funguvisiwa]] [[ya Chagos]] na leo kisiwa cha pekee chenye wakazi ambao ni wanajeshi wa Marekani. Ni kituo kikubwa cha kijeshi cha [[Marekani]] katika Bahari Hindi.
 
Kati ya 1850 na 1965 kisiwa kilikuwa sehemu ya eneo la [[MauritiusMorisi]]. 1965 ilitengwa na Morisi pamoja na funguvisiwa yote. Mwaka 1971 Uingereza ilikodi Diego Gracia kwa jeshi la Marekani. Waamerika walitaka kuwa na kituo cha kijeshi kwenye Bahari Hindi katika mashindano yao na Urusi[[Umoja wa Kisovyeti]].
 
Katika miaka miwili iliyofuata wenyeji wote wa funguvisiwa waliondolewa visiwani leo vyote ni chini ya jeshi la Marekani. WaliohamishwaWakahamishwa na watoto wao wanaishi leo huko [[Mauritius]], [[Shelisheli]] na Uingereza. Wengi wao wanapigania haki ya kurudi. Mahakama ya Uingereza iliwaruhusu mwaka 2000 warudi tena lakini serikali imekataa mwaka 2004.
 
Diego Garcia ilikuwa kituo muhimu katika vita za Marekani huko Afghanistan na Irak. Ndege za kijeshi za aina [[B-52]] zinatoka hapa pamoja na ndege za kubeba petroli.
 
Marekani ina pia kituo cha melimanowari za kijeshizake kisiwani.
 
[[Category:Visiwa vya Afrika]]