Ngome ya Yesu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fr:Fort Jesus
d fix
Mstari 3:
[[Image:Fort Jesus, Mombasa2.JPG|thumb|Maghofu]]
 
'''Boma la Yesu''' (Kiing.: '''Fort Jesus''') ni [[ngome]] la kale mjini [[Mombasa]] ([[Kenya]]). Lilijengwa mwaka [[1593]] na [[msanifu]] [[Giovanni Battista Cairato]] kwa niaba ya [[Ureno|Wareno]]. Ngome iko kwenye kisiwa cha Mombasa ikitazama mlango wa bandari ya kale.
 
Ilikuwa kituo muhimu cha Wareno kwenye njia ya mawasiliano kati ya Ureno na [[Uhindi]].