Fueli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
 
==Historia==
Kati ya fueli za kwanza za historia ni [[ubao]] inayotumiwa kama [[kuni]]. Baadaye watu waligundua njia ya kubadilisha kuni kuwa [[makaa ya ubao]] inayotunza nishati ndani ya kuni lakini ni nyepesi na kuchukua nafasi ndogo.
 
Baadaye watu waligundua ya kwamba [[mafuta]] mbalimbali ama kutokana na wanyama au mimea inaweza pia kuchomwa kupata nuru na joto kwa upishi.
Mstari 9:
Katika nchi kadhaa ambako [[mafuta ya petroli]] inafikia uso wa ardhi ilitumiwa katika hali ya kiasili na kuchomwa.
 
Baadaye watu waliona faida ya [[makaa mawe]] wakaanza kuichimba na kuchoma. Tangu karne ya 20 matumizi ya madawa kutokana na [[petroliamu]] yalisambaa kabisa kama vile [[petroli]], [[diseli]] na [[mafuta ya taa]].
 
Mara nyingi nishati ya fueli hutumiwa moja kwa moja kwa mfano kwa njia ya kuweka sufuria juu ya kuni, makaa au gesi inayowaka. Teknolojia ya [[umememe]] inawezesha watu kubadilisha nishati ndani ya fueli katika umbo tofauti ya nishati inayoweza kupelekwa kote kupitia nyaya za umeme. Asili ya umeme mara nyingi ni kuchomwa kwa fueli pia; kwa mfano katika vituo vya umeme mafuta ya petroli, dieseli au makaa mawe huchomwa kusudi la kuchemsha maji na mvuke wa maji unazungusha [[rafadha]] inayoteneneza umeme.
 
 
==Aina za fueli==
Fueli yote hukusanya ndani yake nishati ya jua.
 
== Fueli kisukuku ==