Joseph Kony : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fa:جوزف کانی
Translated from http://en.wikipedia.org/wiki/Joseph_Kony (revision: 330572852) using http://translate.google.com/toolkit with about 91% human translations.
Mstari 1:
{{Infobox Person
[[Image:JosephKony.jpg|frame|right|Joseph Kony]]
|name = Joseph Kony
'''Joseph Kony''' (* mnamo [[1961]]) ni Mw[[uganda]] kutoka [[Acholi]] na mkuu wa jeshi la [[Lord's Resistance Army]] (LRA = ''Jeshi la Upinzani la Bwana'') ambali ni kikundi cha wanamigambo wa porini ambacho kimepigania vita dhidi ya serikali hadi [[2006]] kwa kuua watu wengi katika kaskazini ya Uganda na kuteka nyara watoto maelfu waliolazimishwa kuwa askari zake.
|caption =
|birth_name = Joseph Kony
|birth_date = 1961 <ref name="autogenerated2006">[http://www.mg.co.za/article/2006-02-10-portrait-of-ugandas-rebel-prophet-painted-by-wives The Independent - The deadly cult of Joseph Kony]</ref>
|birth_place = Odek, [[Uganda]]
|residence =
|nationality = [[Ugandan]]
|other_names =
|known_for =
|education =
|home_town =
|title = Leader of the [[Lord's Resistance Army]]
|height =
|weight =
|religion = [[Christianity]]
|spouse = Is thought to have over 60 wives <ref name="autogenerated1">[http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/4320858.stm BBC News - Profile: Joseph Kony]</ref>
|children = Thought to have 42 children <ref>[http://www.mg.co.za/article/2006-02-10-portrait-of-ugandas-rebel-prophet-painted-by-wives Portrait of Uganda's rebel prophet, painted by wives]</ref>
}}
 
'''Joseph Kony''' (alizaliwa mwaka 1961) ni kiongozi wa kundi la wanamugambo wa[[Lord's Resistance Army]] (LRA), kundi la [[kuvizia]] ambalolomejihusisha na kampeni za ghasia likiwa na azma ya kuanzisha serikali inyoongozwa na viongozi wa dini nchini [[Uganda,]] kundi hili liandai limejengeka kwenye misingi ya Biblia ya kikristo na amri kumi. <ref name="autogenerated2006"></ref> Kundi la LRA ambalo lilijulikana kwa vitendo vyake dhidi ya wenyeji wa Uganda Kaskazini, limeteka nyara takribani watoto 30,000 na kusababisha watu milioni 1.6 kukimbia makazi yao tangu uasi wao ulipoanza mwaka 1986. <ref>[2] ^ [http://www.twf.org/News/Y2006/0519-LRA.html Flight of the child Soldiers]</ref> <ref>[3] ^ [http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/6139554.stm BBC News - Mjube wa Umoja wa mataifa akutana na kiongozi wa waasi]</ref> <ref> Buteera, Richard. The Reach Of Terrorists Financing And Combating It-The Links Between Terrorism And ordinary Crime. International Society of Prosecutors. Washington, DC. Agosti 12, 2003. [http://www.iap.nl.com/speeches_annual_conference_2003_washington/terrorism_financing_speech_by_richard_buteera.htm ]</ref>
==Asili za Kony==
Kony alizaliwa katika kijiji cha Odek karibu na [[Gulu]] katika [[Acholi]]. Alibatizwa kuwa M[[katoliki]] hakumaliza shule.
 
==Wasifu==
Alimfuata shangazi yake [[Alice Lakwena]] katika vita ya [[Harakati ya Roho Mtakatifu]]. Baada ya kushindwa kwa Alice na mwisho wa jeshi lake Kony aliendelea kungoza kundi ndogo ya askari waliobaki pamoja.
Joseph Kony alizaliwa mwaka 1961 katika kijiji cha [[Odek,]] kinachopatikana mashariki mwa [[Gulu]] kaskazini mwa [[Uganda]], wazazi wake walikuwa wakulima. Aliwapenda wadogo zake lakini walipomkosea aliwaadhibu. <ref name="Innocents Lost p. 105-144">[8] ^ Jimmie Briggs "Innocents Lost: When Child Soldiers Go to war" 2005 s. 105-144 </ref> Katika ujana wake, Joseph Kony alifunzwa kuwa mganga wa kijiji na kakake mkubwa, Benon Okello, na kakake alipoaga alichukua kikamilifu wajibu wa kuwa mganga wa kijiji. <ref>[9] ^ Petro Eichstaedt, ''First Kill Your Family: Child Soldiers of Uganda and the Lord's Resistance Army,'' s. 206</ref> Alipokosewa alipendela kupigana badala ya maelewano kwa njia ya mazungumzo. Akiwa shuleni alitaniwa kwa ukubwa wake na walimu walimpa wakati mgumu kwa sababu hakuonekana muerevu sana. Babake alikuwa mteandakazi wa mungu katika kanisa katoliki na mamake alikuwa Muangilikana, Kony alikuwa alatare kwa miaka kadhaa. Aliacha kwenda kanisani akiwa na umri wa karibu miaka 15. <ref name="Innocents Lost p. 105-144"></ref> Aliachaia masomo yake shule ya upili na alipata umaarufu mwezi wa Januari mwaka 1986, akiwa na miaka ishirini na kitu hivi. Kundi lake lilikuwa moja ya makundi makubwa yaliyoibuka [[huko Acholi]] wakati wa vuguvugu maarufu la [[Roho Mtakatifu]] lililoongozwa na [[Alice Auma]] (aka Lakwena). Hata hivyo kulikuwa na mgogoro miongoni mwa Wacholi walionung'unikia kupoteza uashawishi wao baada ya Rais [[Tito Okello]] aliyekuwa Muacholikupinduliwa na [[Yoweri Museveni]] na jeshi lake la National [[Resistance Army]] (NRA) wakati wa [[Vita vya msituni]] vya Uganda vilivyoisha mwaka 1986.
 
Mwanzoni, kundi la Kony's liliitwa United Holy Salvation Army (UHSA) na halikuchukiliwa kama tisho na NRA. Kufikia mwaka 1988, baada ya mkataba kati ya NRA na [[Uganda People's Democratic Army]] kuongeza makundi yake mengine ya wapiganaji pamoja na kusajili watoto kwa nguvu kulilifanya kundi la United Holy Salvation Army kuwa jeshi lililoogofya. Askarijeshi wake wengi walikuwa watoto. Inakadiriwa kuwa amechukuwa watoto zaidi ya 104.000 wavulana na wasichana tangu LRA ilipoanza kupigana mwaka 1986. MMara nyingi aliua jamaa na majirani wa watoto hawa alipokuwa akiwateka na kuwalazimisha wapigane katika jeshi lake. Kamanda wa kundi lilosalia la UPDA alikuwa [[Odong Latek,]] ambaye alifanikiwa katika kumshawishi Kony atumie mbinu za kisasa za kijeshi kinyume na majaribio ya awali ambayo yalihusu mashambulizi ya mslaba na kutumia maji matakatifu. Mbinu hii mpya ilifanikiwa na UHSA mapigano madgomadogo lakini waliweza kuwashinda NRA. Baada ya ushindi huu NRA ililipiza kizazi kwa kudhoofisha kundi la Kony kisiasa na kampeni iliyoitwa Oparation North.
==Sauti za mapepo==
Kony alidai kuwa alipokea sauti za mapepo pamoja na [[Roho Mtakatifu]] waliomwambia kuendelea na vita. Kony alidai ya kwamba shabaha ya vita ni kuanzisha utawala wa Mungu chini ya [[Amri Kumi]] za [[Biblia]].
 
Kufikia mwaka 1992 alilipa hilo kundi jiypa la Muungano wa Jeshi la Kikristo la Demokrasia na ni katika wakati huu ndiyo waliowateka nyara wasichana 44 kutoka shule za upili za Sacred Heart Secondary na St. Mary's Girls School Operation North iliharibu kabisa kile kingekuwa wanamugambo wa Lord's Resistance Army,hata hivyo, ingawa idadi yao ilipungua kutoka maelfu hadi mamia waliendelea kuwavamia raia na washirika wa NRA.
==Mchanganyiko ya dini==
Wakimbizi waliofaulu kutoka katika makambi yake wamesema ya kwamba anatumia mchanganyiko wa dini mbalimbali:
* siku za [[Jumamosi]] alisali kwa namna ya kikristo na kutumia [[tasbihi]] kama Wakatoliki
* siku za [[Ijumaa]] alisali sala ya Al-Jummaa ya Waislamu
* alisheherekea [[Krismasi]]
* alifunga [[saumu]] wakati wa [[Ramadhani]]
* alikataza kula nyama ya [[nguruwe]]
* sadaka kwa mapepo zilitolewa kwa namna ya Kiacholi
* aliwaruhusu wanaume kuwa na wake wengi akawa mwenyewe na idadi kubwa ya wake
 
Mazungumzo ya Bigombe ya mwaka 1993 yalifunua mengi kumhusu Joseph Kony. [[Betty Bigombe]] alikumbuka kwamba mara ya kwanza alikutana na Kony na wafuasi wake walitumia mafuta kujikinga na risasi na pepo mbaya. <ref>[15] ^ The Woman Behind Uganda's Peace Hopes- Betty Bigombe Put life on Hold to Interced in Northern War [http://www.washingtonpost.com/wp-dyn/content/article/2007/07/10/AR2007071001933_2.html ]</ref> Katika barua ilyohusu mazungumzo ya baadaye Kony pia alieleza kwamba sharti angetafuuta ushauri kutoka kwa [[Roho Mtakatifu.]] Mazungumzo yalipoanza walisisitiza kwamba viongozi wa dini washirikishwe na walifungua mkutano kwa maombi yaliongozwa na Mkurugenzi wa Masuala ya Dini wa LRA Bw. Jenaro Bongoni. Hatimaye katika mazungumzo ya amani ya mwaka 1994 Kony aliingia huku wanaume waliovaa majoho wakiwa mbele yake wakimyumyizia [[maji takatifu.]] <ref>[16] ^ [http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/5146662.stm BBC - Profile: Ugandan rebel Joseph Kony]</ref>
==Vita za Kony==
Kati ya 1987 - 1994 Kony aliendesha vita yake katika sehemu za Acholi katika kaskazini ya Uganda. Tangu 1994 alihamia [[Sudan]] ya Kusini kwa sababu ya mashambulio makali zaidi dhidi yake na jeshi al Uganda. Alijenga makambi kati Sudan -wengi wanasema alipata usaidizi wa serikali ya Sudan iliyochukizwa na msaada wa [[Kampala]] kwa ajili ya [[SPLA]]- na kushambulia ndani ya Uganda. Wakati ule askari zake walianza kulipiza kisasi kwa Waacholi waliodhaniwa kuwa walishirikiana na serikali kwa kuwaua au kukata mikono, masikio, miguu au midomo ya watu.
 
Juhudi nyingi za kimataifa za kuleta amani na kukomesha utekaji nyara wa watoto na Kony na Wanamugambo wa kundi lake la Lord's Resistance Army zilifanyika kati ya 1996 na 2001. Juhudi zote zilishindwa kumaliza utekaji nyara wa watoto, ubakaji, askari-jeshi watoto mauji ya raia ikiwemo usambuliaji wa kambi za wakimbizi. Baada ya [[shambulizi]] la [[tarehe 11 Septemba Marekani]] ilitangaza rasmi wanamugambo [[wa Lord's Resistance Army]] kuwa kundi la kigaidi na Joseph Kony kuwa gaidi. <ref>{{cite web | url=http://www.state.gov/r/pa/prs/ps/2001/6695.htm | title=Statement on the Designation of 39 Organizations on the USA PATRIOT Act's �Terrorist Exclusion List� | author=Philip T. Reeker | publisher=U.S. Department of State | date=December 6, 2001}}</ref>
Tangu [[1994]] aliamuru pia kutekwa nyara kwa watoto na vijana waliolazimishwa kutembea hadi [[Sudan]]; wavulana waliingizwa katika jeshi lake na wasichana walichukuliwa kama "wake" wa askari zake; Kony anasemekana alipenda kuchagua kati ya mabinti hawa.
 
Josph Kony alifikiriwa kuwa mtu mwenye pepo; amesawiriwa kama ama kma Masihi au shetani. Alizuru mara kadhaa milima ya Ato nchini Uganmda. Inadaiwa kuwa angekwea hadi kileleni cha milima na kulala huko kwenye jua kali kwa siku kadhaa. Angefunikwa na kundi la kumbikumbi wekundu ambao waliing'ata ngozi yake kwa undani. Mafuta kutoka mti uitwao Yao ilipakwa mwilini mwake. Kisha aliingia kwenye pango na kushinda huko pekee kwa majuma kadhaa. Alichowaamuru watoto wafanye kilikuwa kitu cha upuzi- aliwaambia kuwa iwapo wangechora mslaba kwenye vifua vyao na mafuta wangekingwa kutoka kutoka kwa risasi. <ref name="Innocents Lost p. 105-144"></ref> Kony anasisitiza kwamba wanamugambo wa [[Lord's Resistance Army]] wanapigania Amri Kumi.
Mwaka [[2002]] jeshi la Uganda ilipatana na Sudan ikapata kibali cha kushambulia makambi ya Kony ndani ya Sudan. Jibu la Kony ilikuwa kurudi Uganda na kuwaua watu wengi zaidi kuliko awali lakini jeshi la Uganda iliongeza pia askari zake.
"Ndiyo, tunapigania Amri Kumi," Je, ni vibbaya? siyo kukiuka haki za binadamu. Na amri haikutolewa na Joseph. Haikutolewa na LRA. la, amri hiyo ilitolewa na Mungu. "
<ref>[20] ^ [http://www.timesonline.co.uk/tol/news/world/article680339.ece I wil use the Ten Commandments to liberate Uganda]</ref>
 
==Mashtaka mbele ya [[Mahakama Kuu ya Kimataifa]]rasmi==
{{LRA}}
[[2003]] Kony pamoja na viongozi wenzake walishtakiwa mbele ya [[Mahakama Kuu ya Kimataifa]] kwa hatia za
Tarehe 6 Oktoba, 2005 Mahaka ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) ilitoa vibali vya kukamtwa kwa wanamugambo watano wa kundi la Lord's Resistance Amy kwa uhalifu dhidi ya haki za binadamu kufuatia kufunguliwa mashitaka. Siku iliyofuata waziri wa ulinzi wa [[Uganda]] Amama Mbabazi alidokeza kuwa Joseph Kony, naibu wake Vincent Otti na makamanda wa Raska Lukwiya, Okot Odiambo na Dominic Ongwen walikuwa miongoni mwa wale ambao vibali vyao vya kukamtwa vilitolewa. Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi, jeshi la Uganda lilimua Lukwiya tarehe 12 Agosti, 2006. <ref>[23] ^ "Ugandan army kills senior rebel'." ''BBC News.'' Agosti 13, 2006. Februari 15, 2007. [http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/4788657.stm ]</ref>
* jinai dhidi ya ubinadamu na mauaji
* jinai ya kuteka watumwa
* jinai ya ubakaji
* matendo ya kinyama ya kuumiza watu (kukata viungo vya mwili)
* kuumiza watu raia (wasio wanajeshi) kwa kusudi
* kuwalazimisha watoto wadogo kuwa wanajeshi
 
Juma moja baadaye, tarehe 13 Oktoba, Mwendesha Mashitaka Mkuu wa ICC [[Luis Moreno Ocampo]] alitoa maelezo kuhusu mashitaka yaliyomkabili Kony. Kuna jumla ya mashtaka 33, 12 yakiwa ni uhalifu dhidi ya haki za binadamu, ambayo ni pamoja na mauaji, utumwa, utumwa wa ngono na ubakaji. Kuna mashitaka mengine 21 ya uhalifu wa kivita ambayo ni pamoja na mauaji, ukatili kwa raia, ushambulizi wa kimakusudi kwa raia, uporaji mali, ubakaji na kusajili watoto kwa nguvu katika vikosi vya waasi. Ocampo alisema kwamba "Kony aliwateka wasichana kuwatoa kama zawadi kwa makamanda wake."
Mwaka 2005 LRA ililazimishwa kuhamisha kambi lake ndani ya [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] lakini iliendelea kushambulia sehme zu Uganda ya Kaskazini.
 
Jeshi la Uganda limejaribu kumua Kony kwa shutuma za Upinzani .
==Majadiliano ya 2006 juu ya amani==
Mwaka 2006 Kony alimruhusu makamu wake [[Vincent Otti]] kuanzisha majadiliano na serikali ya [[Yoweri Museveni]]. Majadiliano yalifanyika mjini [[Juba]] katika Sudan.
 
Tarehe 31 Julai, 2006, Kony alikutana na viongozi kadhaa kitamaduni, kisiasa, na viongozi wa dini kutoka Kaskazini mwa [[Uganda]] mafichoni mwake katika msitu wa kondo kuzungumzia vita. Siku iliyofuata, [[Agosti 1,]] alivuka mpaka na kuingia Sudan kuzungumza na Makamu wa Rais wa Kusini mwa Sudan Riek Machar. Baadaye Kony aliwaambia waandishi wa habari kwamba hakuwa tayari kufika mbele ya mahakama ya ICC kujibu mashitaka kwa kuwa hajafanya lolote baya.
Kony na viongozi wenzake waliahidi ya kwamba watamaliza vita na kuwaruhusu askari warudi kwao wasipokamatwa na kupelekwa mahakamani.
Agosti 2006 LRA ilitangaza kusimamisha vita.
 
Tarehe 12 Novemba 2006 Kony alikutana na [[Jan Egeland, Umoja]] naibu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa [[Mataifa]] anayeshughulikia masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura. Kony aliambia shirika la habari la [[Reuters:]] "Hatuna watoto wowote. tunawapiganaji tu. <ref>[25] ^ Kony told Reuters: "Hatuna watoto wowote tunawapiganaji pekee. [http://www.alertnet.org/thenews/newsdesk/L12604312.htm ]</ref>
Kati Septemba 2006 vikosi ya LRA vilianza kurudi Uganda na kukutana na wanajeshi wa serikali waliowaongoza kuelekea makambi.
 
Tarehe 28 Agosti mwaka 2008, wizara ya fedha ya Marekani ilimuorodhesha Kony miongoni mwa kundi la "magaidi wa kipekee duniani" kundi ambalo huwa na adhabu za kifedha na adhabu. Haijulikani iwapo Kony ana miliki au hamilki rasilimali yoyote amabyo inaathiriwa na maelezo yaliyotolewa.
 
Desemba 25, 2008, kwa mujibu wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa, waasi wa [[Lord's Resistance Army]] (LRA) waliwaua watu 189 na kuteka nyara watoto 120 wakati wa sherehe iliyofadhiliwa na Kanisa Katoliki huko Faradje, katika [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.]] Desemba 2008, jeshi la Kongo, pamoja na vikosi vya jeshi la [[Uganda]] na [[Sudan,]] vilivamia waasi wa LRA wakiwa na lengo la kuwanyang'anya silaha waasi wa LRA.
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.acholiteck.com/ About The Acholi People]
* [http://www.acholinet.com/ Acholi Community Web Portal]
* [http://www.africanfront.com/page600.php I want peace, but Museveni is the problem, says Kony ], transcript of Joseph Kony's call in to a political talk show on the Mega FM radio station broadcasting from Gulu on [[28 December]] [[2002]]
* [http://www.newvision.co.ug/D/8/12/443579 Kony's eldest son killed], [[New Vision]], [[8 July]] [[2005]]
* [http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/4320858.stm Profile: Ugandan rebel Joseph Kony], BBC News, last updated [[7 October]] [[2005]]
* J. Carter Johnson, [http://www.christianitytoday.com/ct/2006/001/18.30.html?lid=ct_deliver_us_title&1pos=main Deliver Us from Kony], [[Christianity Today]], January 2006
* [http://www.mg.co.za/articlePage.aspx?articleid=263835&area=/insight/insight__africa/ Portrait of Uganda's rebel prophet, painted by wives], [[Mail & Guardian]], [[10 February]] [[2006]]
* Sam Farmar, [http://news.bbc.co.uk/2/hi/programmes/newsnight/5124762.stm Uganda rebel leader breaks silence] (interview with downloadable audio in MP3 format), BBC [[Newsnight]], [[28 June]] [[2006]]
* Ruud Elmendorp, [http://www.videoreporter.nl Joseph Kony gives press conference] (video report from Joseph Kony in his outpost in the Congo), Ruud Elmendorp, [[2 August]] [[2006]]
* [http://www.rocketboom.com/vlog/archives/2006/08/rb_06_aug_16.html Ruud Elmendorp's video interview with Joseph Kony] on [[Rocketboom]] [[16 August]] [[2006]]
* Ochola John, [http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/5129350.stm LRA victim: 'I cannot forget and forgive'], BBC, [[29 June]] [[2006]]
 
==Bibliografia==
* {{cite book | last = Green | first = Matthew | authorlink = | coauthors = | title = The Wizard of the Nile: The Hunt for Africa's Most Wanted | publisher = Portobello Books | date = 2008 | location = | pages = | url = | doi = | id = | isbn = 978-1846270307 }}
* {{cite book | last = Briggs | first = Jimmie | authorlink = | coauthors = | title = The Innocents Lost: When Child soldiers Go to war | publisher = Basic Books | date = 2005 | location = | pages = | url = | doi = | id = | isbn = }}
 
==Marejeo==
[[Category:Watu wa Uganda]]
{{Reflist}}
[[Category:Vita vya msituni Afrika]]
 
==Viungo vya nje==
* [http://womennewsnetwork.net/2009/01/13/ugandagirlsoldier809/ Girl Soldiers-The cost of survivla in Northern Uganda ] Mtandao wa Habari za Wanawake - WNN
* [http://www.rfi.fr/actuen/articles/102/article_775.asp "I want peace talks to resume"] Mahojianao na Kony kwenye Radio France Internatinale English Service Juni 22, 2008
* [http://www.africanfront.com/page600.php Nataka amani lakini Museveni ndiye shida, asema Kony, ] makala ya mzungumzo ya Kony kwa njia ya simukwenye shoo ya redio ya mazungumzo ya siasa kwenye radi ya Mega Radio itangazayo kutoka Gulu tarehe 28 Desemba 2002.
* [http://www.newvision.co.ug/D/8/12/443579 Mtoto wa kwanza wa Kony auawa ] [[New Vision,]]Julai 8, 2005
* [http://www.haguejusticeportal.net/eCache/DEF/8/193.c2V0TGFuZz1FTiZMPUVO.html Hague Justice Portal: Joseph Kony]
* J. Carter Johnson, [http://www.christianitytoday.com/ct/2006/january/18.30.html Deliver Us from Kony,] [[Christanity Today,]] Januari 2006
* Sam Farmar, [http://news.bbc.co.uk/2/hi/programmes/newsnight/5124762.stm Uganda rebel leader breaks silence] (mahojiano yaliyotolewa kwenye tuvuti katika kwa muundo wa MP3), BBC [[Newsnight,]] tarehe 28 Juni, 2006, pia [http://video.google.com/videoplay?docid=-3358543972674478503&amp;ei=V6wDS8jJKpTawgPAiNnBAg&amp;q=joseph+kony# Google Video]
* [http://www.rocketboom.com/vlog/archives/2006/08/rb_06_aug_16.html Ruud Elmendorp's video interview with Joseph Kony] katika [[Rocketboom]] Agosti 16, 2006
* Ochola John, [http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/5129350.stm Mhasiriwa wa LRA: 'siwezi kusahau na kusamehe',] BBC, tarehe 29 Juni 2006
* [http://bloggingheads.tv/diavlogs/17021 Julia Spiegel project discusses efforts to kill Joseph Kony] Bloggingheads TV diavlog Jumapili Januari 11, 2009
{{International Criminal Court}}
 
 
{{Persondata
|NAME= Kony, Joseph
|SHORT DESCRIPTION= Leader of the [[Lord's Resistance Army]]
|DATE OF BIRTH= 1961
|PLACE OF BIRTH= Odek, [[Uganda]]
}}
{{DEFAULTSORT:Kony, Joseph}}
[[Category:Mwaka wa kuzaliwa usiopatikana (watu wanaoishi)]]
[[Category:Waliohai]]
[[Category:Waasi wa Lord's Resistance Army]]
[[Category:Wilaya ya Gulu]]
[[Category:Watoro wasakwa na Mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa]]
[[Category:Watoro wasakwa kwa uhalifu wa kivita]]
[[Category:Watoro wasakwa kwa mashitaka ya uhalifu wa kukiuka haki za binadamu]]
 
[[de:Joseph Kony]]
 
[[en:Joseph Kony]]
[[es:Joseph Kony]]
[[fa:جوزف کانی]]
[[fi:Joseph Kony]]
[[fr:Joseph Kony]]
[[he:ג'וזף קוני]]
[[id:Joseph Kony]]
[[it:Joseph Kony]]
[[he:ג'וזף קוני]]
[[ja:ジョゼフ・コニー]]
 
[[nl:Joseph Kony]]
[[ja:ジョゼフ・コニー]]
[[no:Joseph Kony]]
[[pl:Joseph Kony]]
[[pt:Joseph Kony]]
[[ru:Кони, Джозеф]]
[[fi:Joseph Kony]]
[[sv:Joseph Kony]]
[[tr:Joseph Kony]]