Dioksidi kabonia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: vi:Cacbon điôxít
No edit summary
Mstari 3:
Katika mazingira ya kawaida hutokea kama gesi inayoganda kwenye halijoto chini ya -78.5[[°C]]. Katika hali ya gesi haina ladha wala harufu.
 
Dioksidi kabonia inatokea wakati viumbehai wanapumua na kutoa pumzi; inatokea zaidi wakati wa kuchoma mada ogania yaani mada yenye kaboni ndani yake. Mimea inahitaji gesi hii kwa mchakato wa [[usanisinuru]] ilimojenga chakula chao. Inabadilisha CO<sub>2</sub> kuwa [[sukari]] aina za [[glukosi]].
 
Kiasi cha kaboni dioksidi hewani imeongezeka katika miaka 150 iliyopita kutokana na kuchoma kwa [[fueli kisukuku]] kama [[makaa mawe]] na [[mafuta ya petroli]]. Uchumi wa viwanda, uzalishaji umeme na usafiri kwa magari yenye [[Injini mwako ndani]] kumeleta kuchomwa kwa kiasi kikubwa cha [[makaa]]fueli nahizi [[mafuta ya petroli]] ambayoambazo yote yanazina kaboni ndani yakeinayomwagwa sasa kwenye angahewa kwa umbo la dioksidi kabonia.
 
Kuongezeka kwa gesi hii hewani kunasababisha [[kupanda kwa halijoto duniani]] kunakuonekana kama tatizo kubwa kwa wakati ujao. Muhimu ni tabia ya CO<sub>2</sub> kupitisha nuru inayoonekana kama nuru ya jua lakini kuzuia mnururisho wa [[infraredi]] yaani joto. Maana yake nishati ya mwanga unaoonekana unaingia katika angahewa ya dunia lakini joto peke yake halitoki kirahisi. Tabia hii ni muhimu kwa uhai duniani kwa sababu kaboni dioksidi hewani inazuia kupoa kwa dunia wakati wa usiku; ila tu kuongezeka kwa gesi kutokana na shughuli za kibinadamu kunasababisha pia kupanda kwa halijoto duniani na matokeo yake yasiyotakiwa.