Yasunari Kawabata : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+jamii
+picha
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Image:Kawabata Yasunari.jpg|thumb|right|Yasunari Kawabata]]
 
'''Yasunari Kawabata''' ([[11 Juni]], [[1899]] – [[16 Aprili]], [[1972]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Ujapani]]. Hasa aliandika [[riwaya]]. Mwaka wa 1968 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi'''.