Tofauti kati ya marekesbisho "Ubao"

6 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
no edit summary
d (roboti Nyongeza: ig:Ńkú)
No edit summary
[[Picha:Ein Raummeter Holz.jpg|thumb|250px|Ubao uliokatwa]]
[[Picha:Taxus wood.jpg|thumb|250px|Mti huu unaonyesha miviringo 27 ya miaka yake ya kukua pamoja na safu ya nje ya ubao laini pamoja na kiini cha katikati]]
'''Ubao''' ni dutu inayofanya gogo na matawi ya [[mti]]. Ina matumizi muhimu kwa [[ujenzi]] na vifaa pia kama [[kuni]] kwa [[moto]].
 
Ubao hutengenezwa na mti wakati wa kukua. Ubao laini katika ganda la nje la gogo hupitisha maji na lishe kutoka mizizi kwa matawi na majani. Kila mwaka ganda jipya linaongezeka nje na ganda la ndani huwa imara na kupoteza uwezo wa kupitisha maji. Mabadiliko haya ya kila mwaka huonekana katika miviringo ya ubao ndani ya mti.
 
Ubao umetumiwa na wanadamu tangu miaka maelfu. Mwanzoni ilitumiwa kwakama ajili ya motokuni na fimbo la [[silaha]]. Baadaye watu walijifunza kuchonga uba kwa matumizi mbalimbali kama vile [[ujenzi]], vifaa, sanaa, [[karatasi]] na mengi mengine.
 
Ubao huwa na faida ni imara lakini si vigumu ya kukata na kuchonga, tena ni nyepesi. Pia inapatikana kwa wingi angalau katika maeneo ambako miti inakua.