Chekoslovakia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: stq:Tschechoslowakäi
kiungo
Mstari 5:
Tangu [[1 Januari]] [[1993]] Chekoslovakia imegawiwa kwa amani kuwa nchi mbili za '''Jamhuri ya Kicheki ''' na '''Jamhuri ya Slovakia'''.
 
Chekoslovakia ilianzishwa 1918 baada ya kuporomoka kwa [[Dola la Austria-Hungaria]] wakati wa mwisho wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]]. Iliunganisha majimbo [[Bohemia]] na [[Moravia]] yaliyokaliwa na Wacheki upande wa [[Austria]] na maeneo ya [[Hungaria]] yaliyokaliwa na Waslovakia.
 
Chekoslovakia ilikuwa nchi ya mataifa na utamaduni mbalimbali. Mataifa makubwa yalikuwa Wacheki (51,5 % ), Wajerumani (23,4 %) na Waslovakia (14 %) pamoja na vikundi vikubwa kidigo vya Wahungaria, Waukraine, Waromani na Wapoland.