Miaka baada ya hijra : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Miaka baada ya Hijra''' ni hesabu katika [[kalenda ya Kiislamu]].
 
Hesabu hii ni ilianzishwa miaka 17 baada ya tukio lenyewe (638 [[BK]]) kufuatana na azimio la [[Khalifa]] [[Umar ibn al-Khattab]].
 
[[Waarabu]] waliwahi kuwa na kalenda iliyotumia mwendo wa [[mwezi]]. Lakini hawakuhesabu miaka. Kila mwaka ulitajwa kutokana na tukio fulani. Mwaka wa kuzaliwa kwake [[Mtume Muhammad]] hujulikana "Mwaka wa Tembo" kwa sababu mwaka ule [[Makka]] ilishambuliwa na jeshi la [[Ethiopia|Waethiopia]] lililokuwa na tembo wa kijeshi. Hata baada ya Muhammad desturi hii iliendelea. Mwaka wa [[Hijra]] wenyewe uliitwa "Mwaka wa kukubaliwa kwa safari," mwaka uliofuata "Mwaka vita ilipoamriwa," n.k.