Bahari ya Chumvi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: new:मृत सागर
No edit summary
Mstari 3:
'''Bahari ya Chumvi''' ([[Kiebrania]]: יָם הַ‏‏מֶ‏ּ‏לַ‏ח‎ ''yam ha-melaḥ'' "bahari ya chumvi"; [[Kar.]]:''' ألبَحْر ألمَيّت‎''' ''al-bahrᵘ l-mayyit'', "bahari ya mauti") ni ziwa lililoko kati ya [[Israel]], [[Palestina]] na [[Yordani]]. Eneo lake ni takriban 600 km². Mwambao wa ziwa ni mahali pa chini kabisa kwenye nchi kavu ya dunia uko mita 400 chini ya [[uwiano wa bahari]].
 
Ziwa liko ndani ya bonde la [[mto Yordani]] ambalo ni sehemu ya [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]]. Maji yake yamepokea [[chumvi]] nyingi na kiasi cha chumvi ni mara tisa kulinganisha na chumvi katika maji ya [[bahari]]. Kiasi kikubwa cha chumvi kimezuia kuwepo kwa samaki ndani yake; uhai wa pekee ni aina za [[bakteria]] na [[algae]].
 
Kiasi kikubwa cha chumvi kimesababisha [[densiti]] ya maji yake kuwa juu; hivyo mwanadamu [[ueleaji|huelea]] katika maji haya tu bila jitihada yoyote. Watalii hupenda kufika hapa wakiogelea na kujipakia matope ya ziwa yanayosemekana kuwa nia tabia za kuponya magonjwa ya ngozi.