Puducherry : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: simple:Puducherry
No edit summary
Mstari 4:
Jumla ya maeneo yote ni 493 [[km²]]; kati ya sehemu nne Pondicherry (290 km²) na Karaikal (160 km²) zimezungukwa na eneo la jimbo la [[Tamil Nadu]]; Yanam (20 km²) liko ndani ya eneo la jimbo la [[Andhra Pradesh]] na [[Mahé]] (9 km²) imezungukwa na jimbo la [[Kerala]].
 
Lugha rasmi za Pondicherry zinategemea lugha kuuykuu aya mazingira ya kila sehemu: kwa Pondicherry na Karakal ni [[Kitamil]], kwa Yanam ni [[Kitelugu]] na na kwa Mahe ni [[Kimalayalam]]. [[Kifaransa]] bado ni lugha rasmi lakini haitumiki sana hali halisi serikali inafanya kazi kwa kutumia [[Kiingereza]].