Puducherry : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[file:Lagekarte Unionsterritorium Puducherry.svg.png|thumb|300px|Maeneo ya Pondicherry nchini Uhindi]]
'''Puducherry''' inayojulikana kimataifa zaidi kama '''Pondicherry''' ni eneo maalumu la kitaifa nchini [[Uhindi]]. Ndani yake nikuna maeneo madogo manne ya pekee yanayohesabiwa kwa pamoja kama eneo la kitaifa au Union Territory. Hizi sehemu nne ni Pondicherry, Karaikal, Yanam na Mahé. Zilikuwa koloni ndogo za [[Ufaransa]] katika Uhindi zilizokaa pekee na [[Uhindi wa Kiingereza]] zikakabidhiwa na Ufaransa kwa Uhindi huru mwaka 1962. Kimsingi kila sehemu ni mji mdogo wa pwani na mazingira kidogo karibu nao.
 
Jumla ya maeneo yote ni 493 [[km²]]; kati ya sehemu nne Pondicherry (290 km²) na Karaikal (160 km²) zimezungukwa na eneo la jimbo la [[Tamil Nadu]]; Yanam (20 km²) liko ndani ya eneo la jimbo la [[Andhra Pradesh]] na [[Mahé]] (9 km²) imezungukwa na jimbo la [[Kerala]].