Puducherry : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[file:Lagekarte Unionsterritorium Puducherry.svg.png|thumb|300px|Maeneo ya Pondicherry nchini Uhindi]]
Image[[file:Pondichery Panneau2.jpg|thumb|300px|Ubao mwenye jina la mtaa kwa Kifaransa na Kitamili]]
'''Puducherry''' inayojulikana kimataifa zaidi kama '''Pondicherry''' ni eneo maalumu la kitaifa nchini [[Uhindi]]. Ndani yake kuna maeneo madogo manne ya pekee yanayohesabiwa kwa pamoja kama eneo la kitaifa au Union Territory. Hizi sehemu nne ni Pondicherry, Karaikal, Yanam na Mahé. Zilikuwa koloni ndogo za [[Ufaransa]] katika Uhindi zilizokaa pekee na [[Uhindi wa Kiingereza]] zikakabidhiwa na Ufaransa kwa Uhindi huru mwaka 1962. Kimsingi kila sehemu ni mji mdogo wa pwani na mazingira kidogo karibu nao.
 
Line 6 ⟶ 7:
Lugha rasmi za Pondicherry zinategemea lugha kuu ya mazingira ya kila sehemu: kwa Pondicherry na Karakal ni [[Kitamil]], kwa Yanam ni [[Kitelugu]] na na kwa Mahe ni [[Kimalayalam]]. [[Kifaransa]] bado ni lugha rasmi lakini haitumiki sana hali halisi serikali inafanya kazi kwa kutumia [[Kiingereza]].
 
==Picha za Punducherry==
<gallery>
Image:Pondichery Panneau2.jpg|Ubao mwenye jina la mtaa kwa Kifaransa na Kitamili
</gallery>
 
{{India}}