Bahari ya Chumvi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Dead sea newspaper.jpg|right|thumb|300px|Mtalii akielea kwenye maji ya Bahari ya Chumvi na kusoma gazeti]]
 
'''Bahari ya Chumvi''' ([[Kiebrania]]: יָם הַ‏‏מֶ‏ּ‏לַ‏ח‎ ''yam ha-melaḥ'' "bahari ya chumvi"; [[Kar.]]:''' ألبَحْر ألمَيّت‎''' ''al-bahrᵘ l-mayyit'', "bahari ya mauti") ni ziwa lililoko kati ya nchi za [[Israel]], [[Palestina]] na [[Yordani]]. Eneo lake ni takriban 600 km². Mwambao wa ziwa ni mahali pa chini kabisa kwenye nchi kavu ya dunia uko mita 400 chini ya [[uwiano wa bahari]].
 
Ziwa liko ndani ya bonde la [[mto Yordani]] ambalo ni sehemu ya [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]]. MajiEneo yake yamepokea [[chumvi]] nyingi na kiasi cha chumvilake ni maratakriban tisa600 kulinganisha na chumvi katika maji ya [[bahari]]km². Kiasi kikubwa cha chumvi kimezuia kuwepo kwa samaki ndani yake; uhai wa pekee ni aina za [[bakteria]] na [[algae]].
 
Mwambao wa ziwa ni mahali pa chini kabisa kwenye nchi kavu ya dunia uko mita 400 chini ya [[uwiano wa bahari]]. Kwa sababu hiyo kuna joto kali linalosababisha maji mengi kugeuka mvuke na kuacha [[chumvi]] nyingi na kiasi cha chumvi ni mara tisa kulinganisha na chumvi katika maji ya [[Bahari ya Kati]]. Kiasi hicho kikubwa cha chumvi kimezuia kuwepo kwa samaki ndani yake; uhai wa pekee ni aina za [[bakteria]] na [[algae]].
Kiasi kikubwa cha chumvi kimesababisha [[densiti]] ya maji yake kuwa juu; hivyo mwanadamu [[ueleaji|huelea]] katika maji haya tu bila jitihada yoyote. Watalii hupenda kufika hapa wakiogelea na kujipakia matope ya ziwa yanayosemekana kuwa nia tabia za kuponya magonjwa ya ngozi.
 
Kiasi kikubwa cha chumvi kimesababisha [[densiti]] ya maji yake kuwa juu; hivyo mwanadamu[[binadamu]] [[ueleaji|huelea]] katika maji haya tu bila ya kuhitaji jitihada yoyote. Watalii hupenda kufika hapa wakiogelea na kujipakia matope ya ziwa yanayosemekana kuwa nia tabia za kuponya magonjwa ya ngozi.
 
Israel na Yordani zimeanzisha viwanda vinavyosafisha aina mbalimbali za chumvi kwa matumizi ya kibiashara.
Line 13 ⟶ 15:
[[Jamii:Jiografia ya Israel]]
[[Jamii:Jiogafia ya Palestina]]
[[Jamii:Maziwa ya Biblia]]
 
[[an:Mar Muerta]]