Mageuko ya spishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mageuko ya spishi''' ni nadharia ya kisayansi iliyobuniwa na kutumiwa na wataalamu wa biolojia. Inasema ya kwamba spishi za viumbehai zilizopo duniani ...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Mageuko ya spishi''' ni [[nadharia]] ya kisayansiki[[sayansi]] iliyobuniwa na kutumiwa na wataalamu wa [[biolojia]]. Inasema ya kwamba [[spishi]] za [[viumbehai]] zilizopo duniani leo zimetokana na spishi ziliokuwazilizokuwa tofauti za zamani. Nadharia hii inategemea ya kwamba awali maisha yote yametokana na maiumbo asilia. Katika wazo hili spishi zote jinsi zilivyo sasa zinaendelea kubadilika.
 
Msingi wa nadharia hii ni mabaki ya [[kisukuku]] ya viumbehai ambao hawapo tena duniani lakini wanaofanana kiasi na viumbehai wa leo, pamoja na ulinganifu wa spishi za karibu na mbali zaidi. Nadharia ya mageuko ya spishi inalenga kueleza mabadiliko haya.
Mstari 5:
Mtaalamu Mwingereza [[Charles Darwin]] anajulikana kama mfumbuzi wa nadharia hii.
 
Leo hii ni nadhasrianadharia ya kibilojiakibiolojia inayokubaliwa na wataalamu wengi hata kama kuna wapinzani kadhaa hasa kwaupande sababuwa zawenye kidini[[imani kali]] ya [[dini]], lakini pia wachache kwa sababu za kitaalamu.
 
[[Image:Tree of life.svg|thumb|right|250px|''Mti wa uhai'' huonyesha mabadiliko wa spishi tangu mwanzo wa uhai]]
Mstari 22:
*[http://ncse.com/ National Center for Science Education]Information on how evolution works
*[http://www.pbs.org/wgbh/evolution/ PBS], on evolution site
{{Spoken article|Evolution spoken.ogg|15 March 2009}}
{{vgood}}
 
[[Category:Biolojia]]