Tofauti kati ya marekesbisho "Migoli"

147 bytes removed ,  miaka 12 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
Wafadhili wa miradi mbalimbali ni kama vile [[parokia]] [[Kanisa Katoliki|katoliki]] ya Migoli na makampuni ya mawasiliano kama vile Zain, Tigo, Vodacom na Zantel.
 
Kijiji asili kilikua sana baada ya serikali juanza kujenga bwawa la Mtera na kulazimisha watu walioishi bondeni na pembezoni mwamkondo wa mto Ruaha wasogee. Wazee wa kwanza walioshi katikamitaa miwili ya Migoli na Makonge walikuwa Maulidi Ndilwa, Nyakunga, Simili Magomba, Paulo Magomba, Madekedeke, Kinyaga pamoja na familia zao.
KIJIJI HICHI KILIANZISHWA MAPEMA WAKATI SERIKALI ILIPOAMUA KUJENGA BWAWA LA MTERA HIVYO WATU WOTE AMBAO WALIKUWA WAKIISHI PEMBEZONI MWA MKONDO WA MTO RUAHA WALIAMULIWA KUSOGWEZWA MAENEO MENGINE. WAZEE WA KWANZA KULETWA KATIKA KIJIJI CHA MIGOLI KILICHOKUA NA MITAA MIWILI YAANI MTAA WA MIGOLI NA MTAA WA MAKONGE WALIKUA NI MZEE MAULIDI NDILWA, MZEE NYAKUNGA,MZEE SIMILI MAGOMBA, MZEE PAULO MAGOMBA , MZEE MADEKEDEKE,MZEE KINYAGA AMBAO WALIKUJA NA FAMILIA ZAO. BY MUSA ALEX NDILWA