Mtini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
'''Tini'''
 
== Utangulizi ==
'''Mtini''' (Ficus Cariza) ni mti mkubwa, kama kichaka au mdogo wenye asili ya kusini magharibi mwa [[Asia]] na pande za mashariki mwa Mediterania (kutoka Afganistani mpaka Usiriki). Huwa na kilimo cha mita 6.9 mpaka 10, na shina laini la kijivu. Majani yana urefu wa sm 12-15 kwa urefu na sm 10 -18 kwa upana, yakiwa yamegawanyika katika vipande vitatu au vitano. Matunda yake, tini huwa na urefu wa sm 3-5 na ngozi ya kijani, wakati mwingine huwa na kuwa ya zambarau au kahawia. Majimaji ya tini huwasha ngozi ya binadamu.