Planktoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: eu:Plankton
No edit summary
Mstari 11:
== Aina za planktoni ==
Wataalamu wanatofautiisha aina tatu:
* Phytoplanktoni au '''planktoni mimea''' ni hasa aina za mwani ([[algae]]) ndogondogo inayoelea karibu na uso wa maji. Inatumia nuru ya jua kwa njia ya [[usanisinuru]] pamoja na [[madini]] ndani ya maji.
* Zooplanktoni au '''planktoni wanyama''' ambayo ni [[uduvi]] wadogowadogo wenye ukubwa chini ya [[milimita]] hadi [[sentimita]] mbili na pia [[mayavuyavu]].
* Bakterioplanktoni au '''planktoni bakteria''' ambayo ni [[bakteria]] na [[archaea]] zinazooishi pamoja na planktoni nyingine