Sikio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
'''Masikio''' ni sehemu za mwili zinazotuwezesha kusikia [[sauti]]. Wanadamu na wanyama [[mamalia]] wana masikio mawili kichwani. Wanyama wengine husikia sauti kupitia viungo vingine kama vile buibui kupitia nywele za miguu au samaki kupitia neva ndefu iliyopo chini ya ngozi kando ya mwili.
Sikio ya kibinadamu huwa na sehemu ya nje inayoonekana na sehemu ya ndani iliyopo ndani ya [[fuvu]]. Usikivu mwenyewe hutokea kwenye sehemu ya ndani.
 
Sehemu ya nje inayenye kazi ya kupokea na kukusanya [[mawimbi ya sauti]] na kuyaelekeza kuingia ndani ya njia ya sikio inayoishia kwenye kiwambo cha sikio ambacho ni ngozi inayotikisishwa na sauti.
 
Kucheza kwa kiwambo kunasikitisha mifupa mitatu midogo inayoungwa nacho na mwendo wa mifupa midogo unapokelewa na mishipa fahamu ya sikio la ndani ukibadilishwa kwa mishtuko ya umeme inayopita kwenye neva hadi ubongo.