Sikio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8:
Sehemu ya nje yenye kazi ya kupokea na kukusanya [[mawimbi ya sauti]] na kuyaelekeza kuingia ndani ya njia ya sikio inayoishia kwenye kiwambo cha sikio ambacho ni ngozi inayotikisishwa na sauti.
 
Kucheza kwa kiwambo kunasikitisha mifupa sikivu ambayo ni mifupa mitatu midogo inayoungwa nacho na mwendo wa mifupa midogosikivu unapokelewa na mishipa fahamu ya sikio la ndani ukibadilishwa kwa mishtuko ya umeme inayopita kwenye neva hadi ubongo. Chumba cha sikio la kati kimeunganishwa na koromeo kwa njia ya [[neli ya koromeo]].
 
Sehemu ya kiwambo cha sikio pamoja na chumba nyuma yake penye mifupa sikivu huitwa sikio la kati. Nyuma yake kuna sehemu ya sikio la ndani. Kiungo cha mwili kinachobadilisha mwendo wa mishipa sikivu kuwa alama za neva huitwa [[komboli]].
 
==Kazi nyingine za masikio==
Line 15 ⟶ 16:
 
Wanyama mbalimbali hutumia masikio pia kwa kupoza mwili. Tembo anatumia masikio yake kama fan.
 
 
==Matatizo na magonjwa ya sikio==
Sehemu zote tatu za sikio zinaweza kuathiriwa na magaonjwa na maumivu.
*Sikio la nje huwa na ngozi laini inaweza kuumizwa na vidonda na kuambukizwa. Njia ya sauti inaumizwa kama watu wanajikuna ndani yake kwa kidole kichafu au kwa kutumia vijiti. Mara nyingi inajazwa hasa kutokana na nta ya mwilini inayokusanyika hapa na kuzuia sauti kupita vema. Daktari anaweza kusaidia hapa kwa kuondoa nta au uchafu mwingine uliokusanyika akitumia mpira mdogo na maji ya vuguvugu.
 
*Sikio la kati inapata matatizo yafuatayo: kiwambo cha sikio inaweza kuumizwa kwa mfano kwa kuingiza kitu ndani ya sikio, kutokana na mlio mkubwa mno kama mtu yuko karibu na mlipuko na pia kutokana na magonjwa. Magonjwa inayotokea mara yingi ni [[mchonyoto]] wa chumba cha mifupa sikivu kwa sababu bakteria zinaweza kupita kwenye neli ya koromeo na kuingia ndani; wakati wa magonjwa ya shingoni neli hii inaweza kuvimba na kufunga bakteria ndani ya sikio la kati ambako zinasababisha mchonyoto. Mchonyoto katika sehemu hii inaleta maumivu makali. Isipotibiwa ambukizo linaweza kuathiri hata kuharibu mifupa sikivu.
 
* Sikio la ndani huumia kama makelele yanazidi. Kuzidi kwa makele au pia kupokea mlio mkubwa wa mlipuko wa karibu inaweza kuharibu neva ndogo zinazobadilisha mwendo wa mishipa fahamu kuwa alama za neva. Sehemu hii inaweza kushambuliwa pia na aambukizi ya virusi mbalimbali.
 
Kuna pia matatizo ambayo hayaelewki bado vema na wataalamu kama [[tinnitus]] ambako mtu anasikia sauti ya kudumu ndani yasikio hata kama wenie hawawezi kusikia kitu. Tatizo nyingine ni upotevu wa usikivu upande moja unaotokea hasa kwa watu wanaobanwa na matatizo na shughuli nyingi. Matatizo haya yana upande wa kiroho na majaribio ya tiba huenda sambamba na kumpatia monjwa kipindi cha raha na mapumziko pamoja na athari nyingine za kutuliza moyo.
 
 
{{stub}}