Punyeto : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Punyeto''' ni tendo lolote la kujitafutia [[ashiki]] binafsi hasa kwa kuchochea viungo vya uzazi. Wanaochukua hatua hiyo ili wajipatie kionjo cha kuridhisha kinachofanana na kile cha [[tendo la ndoa]] kwa kawaida wanasukumwa na [[msisimko]] uliowapata, pamoja na [[haya]] ya kujitafutia mtu na [[hofu]] ya kuambukizwa [[maradhi ya zinaa]].
== Tathmini mojawapo ==
|