Toni Morrison : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: uk:Тоні Моррісон
dNo edit summary
Mstari 2:
[[Image:ToniMorrison.jpg|thumb|right|200px|Toni Morrison]]
'''Toni Morrison''' ni mwandishi wa kike nchini [[Marekani]] na mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]] ya mwaka 1993.
Alizaliwa kwa jina la Chloe Anthony Wofford tarehe [[18 Februari]], [[1931]] huko [[Lorain, [[Ohio]] kama mtoto wa pili wa familia ya [[Waamerika weusi]]. Wazazi wake walikuwa wafanyakazi.
 
Alipenda kusoma vitabu tangu utoto. 1949 akajiunga na chuo kikuu cha Howard (chuo kwa Waamerika weusi katika mji mkuu [[Washington D.C.]]) akimaliza kwa digrii ya BA katika somo la [[Kiingereza]]. Wakati ule aliacha jina lake la Chloe akatumia "Toni" kama kifupi cha "Anthony". Mwaka 1955 alipata MA (shahada ya pili) kutoka chuo kikuu cha Cornell.