Boris Leonidovich Pasternak : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+picha
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Image:Pasternak.jpg|thumb|right|Boris Pasternak]]
 
'''Boris Leonidovich Pasternak''' ([[10 Februari]], [[1890]] – [[30 Mei]], [[1960]]) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya [[Urusi]]. Ingawa aliandika mashairi kwa ujumla, anajulikana hasa kwa [[riwaya]] yake "Daktari Zhivago" iliyotolewa mwaka wa 1956. Mwaka wa 1958 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi''' lakini aliikataa kwa sababu ya upinzani katika nchi yake.