Edward Kendall : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+jamii
+viungo vya nje
Mstari 2:
 
'''Edward Calvin Kendall''' ([[8 Machi]], [[1886]] – [[4 Mei]], [[1972]]) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Baadhi ya uchunguzi mwingine alichunguza [[homoni]] katika gamba la [[tezi adrenali]]. Mwaka wa [[1950]], pamoja na [[Philip Hench]] na [[Tadeus Reichstein]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Tiba'''.
 
==Viungo vya nje==
* [http://medicine.nobel.brainparad.com/edward_calvin_kendall.html wasifu ya Edward Calvin Kendall]
 
{{DEFAULTSORT:Kendall, Edward}}