Johannes Vilhelm Jensen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+viungo vya nje
Mstari 2:
 
'''Johannes Vilhelm Jensen''' ([[20 Januari]], [[1873]] – [[25 Novemba]], [[1950]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Denmark]]. Anajulikana hasa kwa [[riwaya]] yake "Safari Ndefu" (kwa Kidenmark ''Den lange rejse'') iliyotolewa katika majuzuu sita miaka ya 1908-22. Mwaka wa 1944 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi'''.
 
==Viungo vya nje==
*[http://nobelprize.org/literature/laureates/1944/jensen-autobio.html Wasifu alivyoitoa Jensen mwenyewe]
* [http://www.kirjasto.sci.fi/jjensen.htm Wasifu na vitabu vya Jensen]
 
{{DEFAULTSORT:Jensen, Johannes Vilhelm}}