Gobori : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|300px|Muundo wa kimsingi wa gobori: 1: risasi 2: baruti 3: shimo la kupashia moto '''Gobori''' ni silaha ya moto asilia. Ni aina...'
 
No edit summary
Mstari 5:
Hadi leo kuna aina kadhaa za [[mzinga]] zinazojazwa ramia kama gobori. Menginevyo gobori siku kizi ni silaha inayotengenezwa na watu nyumbani kwa uvindaji haramu au kwa michezo.
 
Kijeshi silaha hizi hazitumiwi tena tangu karne ya 2019 kwa sababu matumizi yake ni ya polepole kulingana na bunduki za kisasa. Gobori inaweza kupigwa mara 1-2 kwa [[dakika]] si haraka zaidi kama askari ameandaa tayari mizigo midogo ya baruti tayari kwa kila safari ya kupiga. Bunduki zinazotumia ramia zinaweza kupiga mara nyingi kwa dakika.
 
==Tazama pia==