Gobori : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
'''Gobori''' ni [[silaha ya moto]] asilia. Ni aina ya [[bunduki]] ya kimsingi ambako [[risasi]] pamoja na [[baruti]] zinaingizwa pamoja kwenye mdomo wa [[kasiba]] ya [[silaha]] na risasi inafyatuliwa kwa kupasha moto kwenye shimo upande wa nyuma ya kasiba. Moto inawasha baruti na kusababisha mlipuko unaorusha risasi nje ya mdomo wa kasiba. Bunduki za kisasa hutumia [[ramia]] zinazopelekwa katika kasiba kutoka kando au nyuma.
 
Hadi leo kuna aina kadhaa za [[mzinga]] zinazojazwa ramia kama gobori. Menginevyo gobori siku kizihizi ni silaha inayotengenezwa na watu nyumbani kwa uvindaji haramu au kwa michezo.
 
Kijeshi silaha hizi hazitumiwi tena tangu karne ya 19 kwa sababu matumizi yake ni ya polepole kulingana na bunduki za kisasa. Gobori inaweza kupigwa mara 1-2 kwa [[dakika]] si haraka zaidi kama askari ameandaa tayari mizigo midogo ya baruti tayari kwa kila safari ya kupiga. Bunduki zinazotumia ramia zinaweza kupiga mara nyingi kwa dakika.