Teresa wa Mtoto Yesu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Picha zake: fr label
No edit summary
Mstari 16:
Teresa, mtoto wa tisa na wa mwisho wa Louis Martin na Marie-Azélie Guérin (Zélie), alizaliwa tarehe 2 Januari 1873 kwenye barabara rue Saint-Blaise 42, huko Alençon (Ufaransa).
 
Walipokuwa vijana wazazi wake walitaka kuingia utawani, wasiweze. Baada ya kuoana, maisha yao yote yaliongozwa na [[imani]] na [[maadili]] ya [[Ukristo]].
 
Teresa alipozaliwa, watoto 4 walikuwa wameshafariki.
Mstari 42:
Alifariki tarehe [[30 Septemba]], mnamo saa 19:20.
 
==Heshima baada ya kufa==
Mwaka [[1925]] [[Papa Pius XI]] alimtangaza mtakatifu, na mwaka [[1997]] [[Papa Yohane Paulo II]] alimtangaza mwalimu wa Kanisa kutokana na mchango wake mkubwa katika [[teolojia ya Kiroho]] alioutoa kupitia maandishi yake, yaliyoenea upesi ajabu duniani kote.
Mara baada ya kufa maandishi yake yalianza kusambaa kwa namna ya ajabu na kumvutia [[heshima]] ya wengi. Pia ilipatikana [[miujiza]] iliyopatikana kwa maombezi yake.
 
Mwaka [[1925]] [[Papa Pius XI]] alimtangaza mtakatifu, na mwaka [[1997]] [[Papa Yohane Paulo II]] alimtangaza mwalimu wa Kanisa kutokana na mchango wake mkubwa katika [[teolojia ya Kiroho]] alioutoa kupitia maandishi yake, yaliyoenea upesi ajabu duniani kote.
== Vitabu kwa Kiswahili ==
 
== Tafsiri ya [[Kiswahili]] na ya [[Kihaya]]==
Ua la Upendo, Maisha ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu aliyoyaandika mwenyewe, Paulines ed.
THERESIA WA MTOTO YESU, Ua la Upendo, Maisha ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu Aliyoyaandika Yeye Mwenyewe – tafsiri ya J. J. Rwechungura – ed. Paulines Publications Africa – Nairobi 1992 – ISBN 9966-21-021-0
THEREZA OW’OMWANA YEZU – Akamuli k’engonzi, Oburora bw’Omutakatifu Thereza Ow’omwana Yezu Obwo Yayehandikire Wenene – tafsiri ya J. J. Rwechungura – ed. Marianum Press Kisubi – Kisubi 1960
 
== Viungo vya nje ==