Orodha ya Marais wa Ghana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: Orodha hii inataja marais wa Ghana tangu uhuru wake: {| class="wikitable" width=60% |- bgcolor="#cccccc" |- |Kwame Nkrumah |1 Julai, 196024 Februari, [[...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:42, 31 Machi 2007

Orodha hii inataja marais wa Ghana tangu uhuru wake:

Kwame Nkrumah 1 Julai, 196024 Februari, 1966
Joseph Ankrah 24 Februari, 1966 – 2 Aprili, 1969
Akwasi Amankwa Afrifa 2 Aprili, 1969 – 7 Agosti, 1970
Nii Amaa Ollennu 7 Agosti, 1970 – 31 Agosti, 1970 (mtendaji tu)
Edward Akufo-Addo 31 Agosti, 1970 – 13 Januari, 1972
Ignatius Acheamphong 13 Januari, 1972 – 5 Julai, 1978
Fred Kwasi Akuffo 5 Julai, 1978 – 4 Juni, 1979
Jerry John Rawlings 4 Juni, 1979 – 24 Septemba, 1979
Hilla Limann 24 Septemba, 1979 – 31 Desemba, 1981
Jerry John Rawlings (mara ya pili) 31 Desemba, 1981 – 7 Januari, 2001
John Agyekum Kufuor 7 Januari, 2001 - leo