Tofauti kati ya marekesbisho "Gobori"

33 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
d (roboti Nyongeza: en:Muzzleloader)
No edit summary
'''Gobori''' ni [[silaha ya moto]] asilia. Ni aina ya [[bunduki]] ya kimsingi ambako [[risasi]] pamoja na [[baruti]] zinaingizwa pamoja kwenye mdomo wa [[kasiba]] ya [[silaha]] na risasi inafyatuliwa kwa kupasha moto kwenye shimo upande wa nyuma ya kasiba. Moto inawasha baruti na kusababisha mlipuko unaorusha risasi nje ya mdomo wa kasiba. Bunduki za kisasa hutumia [[ramia]] zinazopelekwa katika kasiba kutoka kando au nyuma.
 
Hadi leo kuna aina kadhaa za [[mzinga|mizinga]] zinazojazwa ramia kupitia mdomoni kama gobori. Menginevyo gobori siku hizi ni silaha inayotengenezwainayotumiwa kwa michezo au kutengenezwa na watu nyumbani kwa uvindaji haramu au kwa michezo.
 
Kijeshi silaha hizi hazitumiwi tena tangu karne ya 19 kwa sababu matumizi yake ni ya polepole kulingana na bunduki za kisasa. Gobori inaweza kupigwa mara 1-2 kwa [[dakika]] si haraka zaidi kama askari ameandaa tayari mizigo midogo ya baruti tayari kwa kila safari ya kupiga. Bunduki zinazotumia ramia zinaweza kupiga mara nyingi kwa dakika.