Kinorwei : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
{{Infobox language}}
Mstari 1:
{{Infobox Language
|name=Kinorwei
|nativename=Norsk
|pronunciation=[nɔʂk]
|nchi= [[Norwei]]
|wazungumzaji=4,700,000
|iso1=no
|iso2=nor
|iso3=nor
|stand1=[[Bokmål]]
|stand2=[[Nynorsk]]
|script=[[Alfabeti ya Kilatini]]
|nation=[[Norwei]]
|agency=[[Språkrådet]]
|familycolor=Indo-European
|fam1=[[Lugha za Kihindi-Kiulaya]]
|fam2=[[Lugha za Kigermanik]]
|fam3=[[Lugha za Kigermanik cha Kaskazini]]
|fam4=Kinorwei
}}
 
'''Kinorwei''' (Kinorwei: ''norsk'') ni lugha [[Kigermanik]] ya Kaskazini katika jamii ya [[lugha za Kihindi-Kiulaya]]. Kinorwei kisemwa na watu 4,700,000 na ni lugha rasmi nchini [[Norwei]]. Kinorwei, [[Kiswidi]] na [[Kidenmark]] vinavyoitwa ''lugha ya [[Skandinavia]] ya bara'' vinahusiana sana.