Lamu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Infobox - jina, replaced: = Jiji la → = using AWB |
sahihisho |
||
Mstari 56:
==Utamaduni==
Mifano bora ya usanifu wa Uswahilini inapatikana Lamu. Hivyo imepokelewa na UNESCO katika orodha la [[urithi wa dunia]] kwa sababu ni "mji wa Uswahilini uliohifadhiwa kushinda miji yote mingine".
Boma
Makumbusho madogo yanakumbusha kituo cha kwanza cha posta ya Kijerumani katika Afrika ya Mashariki; Lamu ilikuwa kituo cha posta kwa koloni ya Kijerumani huko [[Witu]].
Lamu kote magari hayaruhusiwi isipokuwa gari mojamoja la mkuu wa wilaya, polisi a hospitali. Meginevyo watu hutembea na kutumia sana usafiri kwa punda.
==Sherehe ya Maulidi==
|