Talmud : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: simple:Talmud
No edit summary
Mstari 1:
[[picha:Talmud-Berachoth.jpg|thumb|300px|Ukurasa wa Talmud: Chanzo cha kitabu cha „Berakhot“. Katikati iko mishnaMishna na gemaraGemara (kuanzia mstari wa 14), upande wa kulia mafundisho ya Rabbi Rashi juu ya sehemu hii, upande wa kushoto maelezo na mafundishoyamafundisho ya wengine]]
 
'''Talmud''' ([[Kiebrania]]: תלמוד, talmūd "mafunzo") ni maandiko muhimu katika [[dini]] ya [[Uyahudi]].
 
Ni mkusanyo wa maandiko mbalimbali yaliyopangwa katika sehmusehemu kubwa mbili ambayo ni mishna[[Mishna]] na gemara[[Gemara]].
 
Mishna ni sehemu ya kale iliyokusanywa na kuandikwa mnamo [[karne ya 2]] [[BK]] niikiwa mkusanyo wa [[sheria za kimdomo]] za Uyahudi. Kwa [[imani]] ya Kiyahudi [[sheria]] hizi zilikuwa sehemu ya [[Torati]] iliyotolewa na [[Mungu]] kwa [[Musa]] kimdomo kule mlima [[Sinai]]. Kufuatana na imani hiihiyo sheria hizihizo zilipitishwa kutoka kizazi kwahata kizazi cha wataalamu. Wakati [[elimu]] ya Uyahudi ilipungua nchini [[Palestina]]-[[Israeli]] baada ya kuharibiwa kwa [[hekalu yala Yerusalemu]] wataalamu walianza kuandika [[mapokeo]] hayahayo kwa [[lugha]] ya [[Kiebrania]] wakaiita mishnaMishna. HiiHiyo mishnaMishna ina pia maelezo juu ya maana ya [[Tanakh]] au mkusanyo wa mawazo na mafundisho juu ya [[Biblia ya Kiebrania]].
 
Gemara ni sehemu ya pili ni mkusanyo wa maandiko ya baadaye ambamo wataalamu walijadiliana maswali yaliyotokana na mishnaMishna na maswali kutokana na mishnaMishna, Torati na maisha halisi. Katika Gemara tunaona mawazimawazo mengi yanayopingana kwa sababu wakunsanyajiwakusanyaji wa Talmud walijitahidi kukusanya mapokeo mapana yenye mawazo na mafundisho mbalimbali.
 
Kuna matoleo makubwa mawili ya Talmud: 1 ni [[Talmudi ya Babeli]] na nyingine [[Talmudi ya Yerusalemu]] (au: ya Palestina). Talmudi ya Babeli ilikusanywa huko [[Irak]] ambako Wayahudi wengi waliishi katika [[Milki ya Uajemi]]; Talmudi ya Palestina ilikusanywa nchinikatika nchi ya Israeli-Palestina. Zote mbili ni sawa kuhusu mishnaMishna lakini kuna tofauti katika Gemara. Kwa jumla Talmudi ya Babeli huheshimiwa zaidi.
 
{{stub}}