Jimbo la Bauchi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza ya nyama na maharage kama Kipala alivyosema!
Mstari 1:
[[Picha:Jimbo Bauchi Nigeria.png|thumb|right|300px|Mahali pa Bauchi katika [[Nigeria]]]]
'''Jimbo la Bauchi''' ni jimbo liliopo mjini kaskazini mwa nchi ya [[Nigeria]]. Mji mkuu wake ni [[Bauchi]]. Jimbo lilianzishwa mnamo 1976 wakati Jimbo la zamani la mjini Kaskazini-Mashariki lilipovunjika. Awali ilijumlisha na eneo la sasa la Jimbo la Gombe, ambalo limepata kuwa jimbo tafauti mnamo mwaka wa 1996. Jimbo lina idadi ya wakazi wapatao 4,706,909 (sensa 2005) wanaoishi jimboni hapa.
'''Bauchi''' ni jimbo za [[Nigeria]].
 
Chuo Kikuu cha Abubakar Tafawa Balewa kipo katika mji mkuu wa Bauchi.
 
{{Nigeria}}