Maonyesho ya mavazi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nitaipanua zaidi hapo baadaye!
ukubwa wa picha
Mstari 1:
[[Image:Gotsiy3edit2.jpg|thumb|uprightright|250px|[[Nataliya Gotsiy]] akionesha mavazi kwa ajili ya [[Cynthia Rowley]], Spring 2007 New York Fashion Week]]
[[File:Slava Zaitsev fashion show-2.jpg|thumb|Wanamitindo wakiwa ndani ya mavazi ya [[Slava Zaitsev]] huko mjini [[Moscow]], mnamo Januari 2007.]]
'''Maonyesho ya mavazi''' ni tamasha la kuvaa linaloandaliwa na [[wabunifu wa mavazi]] ili kuonesha mitindo yao mipya ijayo ya mavazi. Katika kuonesha mfano wa mavazi, [[mwanamitindo|wanamitindo]] wanatembea kwenye jukwaa huku wakionesha mavazi yaliyobuniwa na mbunifu.