Content deleted Content added
{{busy}}
No edit summary
Mstari 18:
Nimetoka [[Ujerumani]] lakini nimekaa Afrika Mashariki tangu mwaka wa 1996. Nafanya kazi kama mshauri wa [[isimu|kiisimu]], na lengo langu ni kukuza matumizi ya [[Orodha ya makabila ya Tanzania|lugha za Tanzania]]. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya [[Kiswahili]].
 
MweziTarehe wa22 AgostiJuni 20092010 nimefikisha michango [http://toolserver.org/~purodha/sample/dbswithuser.php?usr=Baba_Tabita&go=Go!&uselang=en 2025,000].
 
Ingawa nimechaguliwa kuwa bureaucrat wa wikipedia mwezi wa Februari 2008, kazi yangu hunisafirisha mara kwa mara kwenda maeneo ambako hakuna mtandao hata kidogo. Nisiposafiri najitahidi kuingia kwenye wikipedia yetu angalao mara moja kwa juma. Nikiwa kimya kwa majuma kadhaa, naomba mnivumilie. Asanteni!