Mplamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: dsb, eo, fur, pnb, th
d roboti Nyongeza: zh-yue:布冧; cosmetic changes
Mstari 1:
{{Uainishaji (Mimea)
| rangi = lightgreen
| jina = Mplamu<br />(''Prunus'' spp.)
| picha = Mirabellenbaumhoch.jpg
| upana_wa_picha = 250px
Mstari 21:
Matunda ya mplamu au [[plamu|maplamu]] yaliyokomaa huwa na utando mweupe ambao huyapa muonekano wa bafaru hivi lakini hutoka kwa urahisi. Hii huwa ni nta, kitaalamu epicuticular wax, na utando huo hujulikana kama “nta ya kuchanua”
 
== Spishi ==
Nusujenasi imegawanywa katika sehemu kuu tatu:
 
* Majani ya kwenye chipukizi yanajikunja kuelekea ndani; maua 1 – 3 yanakaa pamoja,; matunda ni laini, daima huwa na hupata nta ya ukomavu
* Maua ndani ya chipukizi yanajikunja kwa ndani; maua 3 – 5 yanakaa pamoja; matunda ni laini; daima huwa na hupata nta ya ukomavu.
* Maua ndani ya chipukizi yanajikunja kwa ndani; maua huwa na vikonyo vifupi; matunda laini kama mahameli. Huchukuliwa kamajinasi ndigo inayojitegemea na baadhi ya waandishi.
 
== Kilimo na matumizi ==
Plamu huwa na ladha ya utamu na/ au uchachu; huku ngozi mara nyingi ikiwa chachu. Huwa na n=maji mengi mna huweza kuliwa na kama lilivyo au kutumika kutengeza jemu na viungo vingine. Shrubati ya plamu inaweza kuchachushwa na kuwa mvinyo wa plamu; kisha huchujwa na makampuni kadhaa huko Uingereza mashariki yalijitokeza kama vile "Slivovitz", 'Rakia", "Tzuica" au "Palinka". Plamu zilizokaushwa pia huwa nzuri kuliwa. Plamu huwa na kemikali kadhaa, zenye matumizi kadhaaa kwenye mwili wa binadamu na sehemu nyingine.
Plamu zilizokaushwa na kuwekwa chumvi na kuliwa kama asusa na hufahamika kama salaito au salao. Baadhi ya viungo vilivyokaushwa vya plamu hupatikana huko kwenye maduka na maduka maalumu sehemu mbalimbali duniani kote. Kemikali ya licorice hutumika kuongeza ladha na hutumika kufanya plamu ziwe na ladha ya chumvi na kutumika na vyakula vingine.
Mstari 36:
Plamu huwa katika rangi na ukubwa tofauti. Baadhi huwa na nyama ya ndani ngumu kiasi na mengine huwa na nyama laini na yenye rangi ya njano, nyeupe kijani au nyekundu, na ngozi yenye kubadilika vilevile kulingana na rangi ya nyama ya ndani.
== Picha ==
<gallery>
File:Plum blossoms.jpg|Maua
Mstari 107:
[[zh:李]]
[[zh-min-nan:Lí-á]]
[[zh-yue:布冧]]