Metali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: arz:معدن
d roboti Nyongeza: fo:Metal; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Hot metalwork.jpg|thumb|250px|Chuma ya moto ikifuliwa na [[mhunzi]].]]
'''Metali''' ni kundi la [[elementi]] zenye tabia za pamoja kama vile
* zapitisha umeme kirahisi
* zapitisha joto
* zinang'aa
* ni wayaikaji (zinaweza kubabatizwa kuwa wembamba kama waya au kupinduliwa kabala ya kuvunjika)
 
Kikemia tabia hizi zote zatokana na [[muungo metali]] ya elementi hizi. Kinyume chake [[simetali]] kwa kawaida ni [[kechu]] kama
Mstari 19:
 
 
== Historia ya matumizi ==
Metali zimetumiwa na binadamu kwa vyombo vyao tangu zamani. Mwanzoni watu walitumia mawe tu kwa vifaa vingi. Lakini baadaye walitambua faida ya metali.
 
Mstari 27:
Katika [[Afrika]] watu walianza kutumia moja kwa moja chuma jinsi inavyoonekana kutokana na utafiti wa akiolojia katika [[Nigeria]].
 
[[ImagePicha:Chino copper mine.jpg|thumb|right|250px|Mgodi mkubwa wa kupri katika [[New Mexico]] (Marekani)]]
== Kupatikana kwa metali ==
Metali zapatikana mara nyingi ndani ya miamba mbalimbali kama [[mtapo]]. Kunatokea pia ya kwamba zapatikana kama metali tupu. Lakini njia ya kawaida ni kuvunja mwamba mwenye mtapo ndani yake na kutoa metali kwa njia ya joto au kwa kutumia kemikali.
 
Mahali pa kuchimba metali huitwa migodi. Mara nyingi ni lazima kuchimba chini ya uso wa ardhi ili kupata mtapo.
 
==[[Aloi]] za metali==
Vitu vingi vya kimetali ni mchanganyiko au [[aloi]] za metali pamoja na metali nyingi au pia simetali. Aloi zinazotumiwa zaidi ni:
* [[Feleji]] ([[feri]] na [[Kaboni]]) (kaboni ni simetali)
Mstari 41:
 
{{mbegu-sayansi}}
 
[[CategoryJamii:Metali| ]]
[[Jamii:Fizikia]]
[[Jamii:Kemia]]
Line 72 ⟶ 73:
[[fi:Metalli]]
[[fiu-vro:Metal]]
[[fo:Metal]]
[[fr:Métal]]
[[ga:Miotal]]