Voltaire : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fy:Voltaire, hy:Վոլտեր
No edit summary
Mstari 17:
'''François-Marie Arouet''' anayejulikana zaidi kwa jina la '''Voltaire''' alikuwa mwandishi na mtaalamu wa [[falsafa]] kutoka [[Ufaransa]].
 
Anahesabiwa kati ya waanzilishaji wa [[zama za [[Mwangaza]] nchini Ufaransa.
Alitetea uhuru wa mawazo na uhuru wa dini ingawa wakati wake sheria za Ufaransa zilikuwa vikali na dini iliamriwa na serikali, kama ilivyokuwa katika nchi nyingi za Ulaya.