Renaissance : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: arz:عصر النهضه
d roboti Badiliko: ro:Renașterea; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Raphael School of Athens.jpg|thumb|400px|''Shule ya Athens'' ni mchoro wa [[Raphael]]. Haya ni maonyesho ya michoro ya kipindi cha Renaissance picha ya eneo kutoka katika [[Ugiriki ya Kale]], ambao kume shehena wanafalsa maarufu kedekede wa Kigiriki, waandishi, wasanii na wanamahesabu. Raphael alitumia sura za watu mashuhuri wengi kutokana na kipindi chake. Alimtumia [[Leonardo da Vinci]] kama mfano wake wa kutengenezea [[Plato]].]]
 
'''Renaissance''' (pia: '''zama za mwamko''', '''mwamko-sanaa''') ni kipindi cha kihistoria cha [[Ulaya]] kilichoanza kunako miaka ya 1400, na kikafuatiwa na kipindi cha [[Zama za Kati]], ambacho pia kinajulikana kwa jina maarufu kama [[Middle Ages]].
 
Neno "Renaissance" linatokana na neno la Kifaransa lenye maana ya "kuzaliwa upya". Sababu zilizopelekea kipindi hiki kuitwa hivyo ni kwamba, wakati huo, watu walianza kuwa na shauku ya kujifunza kuhusu mambo ya kale, kwa namna moja au nyingi walijufunza kuhusu mambo ya [[Ugiriki ya Kale]] na [[Roma ya Kale]].
 
Kwa masomo hayo Renaissance ilionekana kama "kuzaliwa upya" kwa masomo hayo. Renaissance mara nyingi ilisemwa kama ndiyo mwanzo wa "modern age".
Mstari 11:
Awali Renaissance ilianzia nchini [[Italia]], lakini punde ikaenea katika Ulaya nzima. Katika Italia kipindi hiki kimegawanyika katika makundi matatu:-
 
* Renaissance ya Awali.
* Renaissance ya Juu
* Renaissance ya Mwisho ambayo pia huitwa kipindi cha Mannerist.
 
Kipindi kilichofuata baada ya Mannerist kilikuwa kinaitwa Baroque pambacho pia kilienea Ulaya nzima kunako 1600. Nje ya Italia, ni vigumu kuelezea wapi kipindi cha Renaissance kiliishia na wapi kipindi cha Baroque kilianza.
== Viungo vya nje ==
* [http://sd71.bc.ca/sd71/school/courtmid/Library/subject_resources/socials/renaissance.htm Links for Middle School students] ''from the Courtenay Middle School Library Collection''
{{stub}}
 
[[CategoryJamii:Historia ya Ulaya]]
 
{{stub}}
 
[[af:Renaissance]]
Line 90 ⟶ 89:
[[pms:Arnassensa]]
[[pt:Renascimento]]
[[ro:RenaştereaRenașterea]]
[[ru:Эпоха Возрождения]]
[[scn:Rinascimentu]]