Mnururisho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: tr:Radyasyon; cosmetic changes
Mstari 3:
Mifano ya mnururisho inayoonekana au kusikika kirahisi ni nuru na joto. Mifano ya mnururisho isiyoonekana ni mnururisho wa [[sumakuumeme]] katika [[redio]] na [[TV]], [[eksirei]] au kinyuklia.
 
== Tabia za mnururisho ==
Mnururisho uko kati ya sehemu za fizikia zilizochunguliwa zaidi na sayansi na kupata matumizi mengi katika teknolojia ya kibinadamu.
 
Hata hivyo wataalamu hawana uhakika mnururisho mwenyewe ni nini hali halisi. Kadiri na mbinu za upimaji huonekana mara kama mwendo wa vyembe yaani vipande vidogo sana za mada (kama vile [[elektroni]] au [[nyutroni]]) na mara kama wimbi yaani mwendo wa nishati isiyo na umbo wa kimada.
 
Mnururisho unaweza kuathiri vitu vinavyoguswa nao. kama nishati yake ni kubwa ya kutosha inaweza kusababisha halijoto kupanda, mabadiliko ya kikemia au pia madhara kwa vitu na viumbe hai.
 
== Aina za mnururisho ==
Kuna aina nyingi za mnururisho au njia za uenezaji wa nishati.
 
* '''Mawimbi ya redio''': ni mnurusisho mwenye [[lukoka]] kubwa. Hutumiwa kwa [[redio]], [[TV]] na ishara za mawasiliano.
 
* '''Mikrowevu''': ni aina ya pekee ya mawimbi ya redio yenye lukoka ndogo zaidi; hutumiwa kwa mawasiliano ya simu, kama silaha, kwa uhamisho wa umeme kati ya mahali na pahali halafu katika maihsa ya kila siku ndani ya jiko la püekee la kupashia joto vyakula.
 
* '''Radar''': Ni mawimbi redio yanayoonyesha ndege angani, meli baharini na hata mawingu. Yanatembea mbali na kuakisihwa na magimba.
 
* '''Mawimbi infraredi''': ni mnururisho wa joto. Hauonekani kwa jicho la kibinadamu lakini hushikwa na kamrea za pekee zinazo"ona" gimba la kuota joto hata kupitia ukuta.
 
* '''Nuru''': Mnururisho unaitwa pia "mwanga"
 
[[Category:Fizikia]]
[[CategoryJamii:NishatiFizikia]]
[[Jamii:Nishati]]
 
[[af:Straling]]
Line 60 ⟶ 61:
[[stq:Stroalenge]]
[[sv:Strålning]]
[[tr:IşınımRadyasyon]]
[[uk:Випромінення]]
[[ur:اشعاع (طبیعیات)]]