Gurudumu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: mhr:Тыртыш
d roboti Nyongeza: gan:駄; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Wagenraeder-FH000008 1.JPG|thumb|Magurudumu ya ubao]]
'''Gurudumu''' ni mtambo mwenye umbo la [[duara]]. Linaruhusu gari kutembea; magurudumu yanazunguka na kitu juu yake yanaenda mbele kwa kutumia nguvu kidogo.
 
Gurudumu linapunguza [[msuguano]]; badala ya msunguano wa kitu chote kinachosogea mbele kwenye ardhi kuna msuguano wa sehemu ndogo ya gurudumu na msuguano wa gurudumu kwenye [[mhimili]] wake. Msuguano kati ya mhimili na gurudumu unapunguzwa kwa njia ya kutia mafuta au kuweka [[gololi]] kati ya
gurudumu na mhimili.
 
Sehemu kubwa ya usafiri kwenye nchi kavu hutegemea magurudumu kwa mfano [[motokaa]], lori, [[reli]] ya kawaida na [[baisikeli]]. Magurudumu ni pia sehemu kubwa ya machine nyingi.
 
== Historia ==
 
Wataalamu wa historia huamini ya kwamba watu wa [[Babeli]] walikuwa wa kwanza kugundua gurudumu na kulitumia tangu mwaka [[4000 KK]]. Watu wa [[China ya Kale]] waliligundua pia mnamo 2800 KK.
Mstari 14:
 
{{stub}}
[[Category:Vifaa]]
 
le
 
[[CategoryJamii:Vifaa]]
 
[[af:Wiel]]
Mstari 48:
[[fur:Ruede]]
[[ga:Roth]]
[[gan:駄]]
[[gd:Cuibhle]]
[[gl:Roda]]