Windhoek : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
{{mbegu-jio-Namibia}}
Mstari 16:
'''Windhoek''' ni [[mji mkuu]] wa [[Namibia]], na iko mahali pa [http://kvaleberg.com/extensions/mapsources/index.php?params=22_56_S_17_09_E_ 22.56 S 17.09 E]. Idadi ya wakazi wake ni takriban 230,000. Mji huo ni kituo muhimu kwa biashara ya ngozi za kondoo. Zamani ulikuwa makao makuu ya mtemi wa kabila la [[Nama]] aliyewashinda kabila la [[Waherero]] wakati wa karne ya 19. Mwaka wa 1885, nchi ilivamiwa na wakoloni kutoka [[Ujerumani]], na mji wa Windhoek ukawa makao makuu ya serikali ya ukoloni mwaka wa 1892. Wakati wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] nchi ilivamiwa na majeshi ya Makaburu kutoka [[Afrika ya Kusini]] ambao wametawala nchi ya Namibia hadi mwaka wa 1990. Namibia ilipopata uhuru, mji wa Windhoek ukawa mji mkuu wa Jamhuri ya Namibia.
 
{{mbegu-jio-Namibia}}
 
[[Jamii: Miji ya Namibia]]