Kombe la Mataifa ya Afrika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 12:
{{wikinews|Egypt wins 2008 Africa Cup of Nations}}
 
'''Kombe la Mataifa ya Afrika,''' ni [[shindano]] kuu [[]] la kimataifa katika [[Afrika.]]. Shindano hili husimamiwa na [[Confederation of African Football]] (CAF), na lilichezwa kwa mara ya kwanza mwaka wa [[1957.]] Tangu mwaka wa 1968, shindano hili hutendeka baada ya miaka miwli. Wabingwa wa[[FIFA Confederations Cup]] walifuzu katika shindano hili.
 
 
Katika mwaka wa 1957 kulikuwa na mataifa tatu yaliyoshiriki katika shindano hili ambayo ni : [[Misri]], [[Sudan]] na [[Ethiopia.]]. [[Afrika ya Kusini]] walikuwa walikuwa washiriki katika shindano hili lakini walizuiwa kutokana na sera za [[ubaguzi]] hasa serikalini. <ref> http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/africa/cup_of_nations/1709599.stm</ref> Tangu wakati huo, mchuano huu umeenea, na kusababisha michuano ya kufuzu. Idadi ya walioshiriki katikafainali ya shindano hili ilifika 16 katika mwaka 1998 (timu 16 zilikuwa zishiriki katika shinano hili mwaka wa 1996 lakini Nigeria walijitoa na kubakia timu 15), na tangu wakati huo, imebaki kuwa timu 61 ndizo zinashiriki katika shindano hili ,Timu hizi hugawanywa katika vikundi ambavyo kila kundi kina timu nne ambapo timu mbili bora katika kila kundi ndizozilifaulu katika hatua ya ya pili.
 
 
Mstari 25:
 
=== 1950-60:uenezaji wa shindano la ANC ===
Chimbuko la Kombe la Mataifa ya Afrika lilikuwa mnamo tarehe Juni 1956, wakati uumbaji wa Confederation of African Football ulipendekezwa katika mkutano wa tatu wa bunge la [[FIFA]] mjini [[Lisbon.]]. Kulikuwa na mipango ya haraka kwa mashindano ya mataifa ya bara kufanyika, na mwaka wa 1957 mwezi wa Februari shindano la [[kwanza]] la [[Kombe la Mataifa ya Afrika]] lilifanyika mjini [[Khartoum]], [[Sudan.]]. Hakukuwa na mechi za kufuzu katika shindano hili , kwani uwanja ulikuwa na mataifa manne ambao ndio wanzilishi wa CAF (Sudan, Misri, Ethiopia, na Afrika ya Kusini). kukataa kwa Afrika ya Kusini kupeleka kikosi [[chenye wachezaji wa rangi tofauti]] katika ushindani kulisababisha wao kuadhibiwa na Ehiopia iliweza kufuzu katika fainali . <ref name="BBC-began">
{{cite web
| url=http://news.bbc.co.uk/sport1/hi/football/africa/cup_of_nations/1709599.stm
Mstari 36:
 
 
Shinano hili lilienea na kuwa na timu tisa ambazo zilishiriki.Shindano hili la [[tatu]] la [[ANC mwaka 1962]]lilikuwa mjini [[Addis Ababa,]], na kwa mara ya kwanza kulikuwa na mechi za kufuzu ambapo timu nne zilifuzu kupigania ubingwa. Ethiopia kama mwenyeji Misri kama bingwa tetezi zilipata fursa ya kufaulu mara moja, na kuungwa na Nigeria na Tunisia katika timu nne za mwisho zilizo waania ubingwa. Misri iliweza kucheza fainali kwa mara ya tatu lakini Ethiopia waliwezakushinda, baada ya kupiga Tunisia katika semifinali nakulaza Misri katika[[muda wa ziada.]].
 
 
Mstari 67:
 
 
Ule mpango wa timu 12, na tatu kila kundi kundi ulitumika tena miaka miwili baadaye, ambapo [[Tunisia iliyokuwa nyumbani]] iliwezwa kuondolewa katika shindano hili. [[Nigeria,]], ambayo ilifaulu katika Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza katika historia, [[ilishinda shindano hili baada ya ,]] kuchapa [[Zambia,]], ambayo mwaka kabla ilipatwa na msiba wa maafa ambapo wengi wa wachezaji wao waliaaga dunia katika ajali ya ndege wakielekea katika mchuano wa kufuzu katika kombe la dunia. Mchezaji wa mbele kutoka Nigeria , [[Rashidi Yekini,]], aliyekuwa akiongoza kwa mabao wa 1992 aliweza kuongoza tena kwa mabao matano mwaka huo.
 
 
Mstari 86:
 
== Taji ==
Katika historia ya Kombe la Mataifa, kumekuwa na aina tatu za taji ambazo zimepatianwa .Kombe la kwanza mbalo lilikuwa la fedha, lilijulikana kama '''" Kombe la Abdelaziz Abdallah Salem ",''' ambalo ilikuwa jina lake rais wa kwanza wa kutoka [[Misri]] jenuari [[Abdelaziz Abdallah Salem.]]. .Baada ya ushindi wa tatu katika Kombe la Mataifa [[Ghana]] iliweza kumiliki kombe hilo mwaka wa 1978. <ref name="BBC-Newtrophy">
{{cite web
| url=http://news.bbc.co.uk/sport1/hi/football/africa/1562471.stm
Mstari 106:
 
 
Mwaka wa 2001,Toleo la tatu lilitokea, ambalo ni kombe la dhahabu lililoundwa nchini [[Italia.]]. Kamerun, waliomiliki toleo la pili waliweza kuwa taifa la kwanza kushinda toleo hili.
{{-}}
 
Mstari 361:
 
 
<sup>(1)</sup> ''Mwaka wa 1957, {{fb|RSA|1928}} haikuruhusiwa kucheza kutokana na ubaguzi [[ubaguzi .]]''. <br />
<sup>(2)</sup> ''Katika mwaka 1959, timu zile tatu zilicheza mara ingine mmoja.'' ''Katika mchezo wa mwisho wa michuano, Misri's ilipata ushindi wa 2-1 dhidi ya Sudan kuwa mabingwa'' <br />
<sup>(3)</sup> ''Hakukuwa na mechi na fainali rasmi mwaka wa 1976, kwani timu nne bora katika kila kundi ndizo zliwaania taji hili.'' <br />
Mstari 632:
|-
| 11
| {{flagicon|Egypt}} [[Hossam Hassan,]], {{flagicon|Cameroon}} [[Patrick Mboma]]
|-
| 10
| {{flagicon|Zambia}} [[Kalusha Bwalya,]], {{flagicon|Zaire}} [[Mulamba Ndaye,]], {{flagicon|Tunisia}} [[Francileudo Santos,]], {{flagicon|Côte d'Ivoire}} [[Joel Tiéhi,]], {{flagicon|Ethiopia}} [[cadowga Worku]]
|-
| 9.
Mstari 641:
|-
| 8
| {{flagicon|Guinea}} [[Pascal Feindouno,]], {{flagicon|Ghana}} [[Wilberforce Kwadwo Mfum]]
|-
| 7
| {{flagicon|Egypt}} [[Taher Abouzaid,]], {{flagicon|Egypt}} [[Ali Abugresha,]], {{flagicon|South Africa}} [[Benni McCarthy,]], {{flagicon|Cameroon}} [[Roger Milla,]], {{flagicon|Nigeria}} [[Jay-Jay Okocha]]
|-
|}