Afrika Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: dsb:Pódpołdnjowa Afrika
No edit summary
Mstari 76:
Kati ya watu mashuhuri sana wa Afrika Kusini ni [[Nelson Mandela]] aliyekuwa rais kati ya [[1994]] hadi [[1999]]. Wengine ni [[Christiaan Barnard]] (daktari wa kwanza duniani aliyehamisha moyo wa mtu kwa mtu mwingine) na [[Shaka Zulu]] aliyekuwa kiongozi wa kijeshi kabla ya ukoloni.
 
[[Picha:Sf-map.png|thumb|300px|left|Ramani ya Afrika Kusini]]
== Uchumi ==
Kiuchumi Afrika Kusini ni nchi yenye pande mbili kabisa. Sehemu ya uchumi ina hali ya kimaendeleo kabisa ikiwa viwanda na huduma za Afrika Kusini zinalingana na hali ya juu kabisa duniani na hali ya maisha ya wananchi waliomo katika sekta hii inalingana na nchi kama Australia au Ulaya ya magharibi. Kwa upande mwingine hali ya maisha ya sehemu kubwa ya wananchi ni umaskini kama katika sehemu nyingine za Afrika au Uhindi wa mashambani. Lakini kwa ujumla hali ya maisha iko juu kuliko nchi nyingi za Afrika.
Line 87 ⟶ 86:
 
=== Majimbo ya Afrika Kusini ===
[[Picha:South Africa Districts April 2006.png|thumb|350px300px|left|Ramani ya majimbo na wilaya za Afrika Kusini]]
Mji mkuu wa jimbo watajwa katika mabano.
 
Line 101 ⟶ 100:
 
== Miji Mikubwa ==
[[Picha:Sf-map.png|thumb|300px|left|Ramani ya Afrika Kusini]]
Hii ni miji/ manisipaa/ jiji kumi yenye wakazi wengi nchini.
{|border="0" cellspacing="5" cellpadding="0"