Chuo cha Kikristo cha Aleksandria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Chuo cha Kikristo cha Aleksandria''' (au '''Shule ya Elimu ya Kikristo ya Aleksandria''') kilikuwa taasisi ya elimu ya Kikristo wakati wa karne za kwanza BK na kati ya vyuo vya kwanza v...
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Chuo cha Kikristo cha [[Aleksandria]]''' (au '''Shule ya Elimu ya Kikristo ya Aleksandria''') kilikuwa taasisi ya elimu ya Kikristo wakati wa karne za kwanza BK na kati ya vyuo vya kwanza vilivyofundisha imani ya kikristo kwa namna ya kitaalamu.
 
Kilianzishwa mnamo mwaka 190 na mwanzoni kusudi lake lilikuwa kuwaelimisha wapagani waliotafuta habari za imani mpya ya kikristo kabla ya ubatizo. Chuo cha Aleksandria kikaendelea haraka kuwa kitovu cha elimuy a krkristo na majadiliano kati ya imani ya Kikristo na falsafa ya Kigiriki.